Jumapili, 16 Februari 2014

watu zaidi ya mia moja wameuwawa kaskazini mashariki mwa nigeria


Maafisa katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria wanasema kuwa zaidi ya watu mia mmoja wameuwawa katika shambulizi linaloshukiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram.


Uharibifu wa Boko Haram